Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Tanga usiku wa kuamkia leo kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Mkwakwani

ADVERTISE HERE