Yanga imetambulisha usajili wa mlindi wa kati wa mabingwa wa ligi kuu ya Zanzibar, KMKM Ibrahim Bacca
Baada ya kuonyesha kiwango bora kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi, Bacca anajumuishwa kwenye GREEN PROJECT ya mabingwa hao wa kihistoria
Karibu kwa Wananchi Bacca..!
ADVERTISE HERE