Lengo la kuanzishwa kwa michuano ya kombe la Mapinduzi ilikuwa sehemu ya shamrashamra za kuyaenzi Mapinduzi matakatifu ya Zanzibar ambapo kilele chake ni Januari 12
Hata hivyo ili kuyapa heshima zaidi mashindano hayo, wandaaji wakaweka zawadi kwa timu zinazofanya vizuri
Katika mashindano ya mwaka huu, waandaaji wameongeza kiwango cha zawadi za washindi tofauti na mwaka jana
Bingwa safari hii atapata 25M Tsh tofauti na mwaka jana ambapo alipata 15M Tsh
Mshindi wa pili atapata 20M Tsh tofauti na mwaka uliopita ambapo alipata 10M Tsh
ADVERTISE HERE