Bado ipo kazi ya kufanya kwa Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2022
Bado ipo kazi ya kufanya kwa Yanga Princess

Katika misimu mitatu iliyopita uongozi wa Yanga umefanya jitihada kuimarisha timu ya Wanawake Yanga Prncess

Juhudi hizo nusura zizae matunda msimu uliopita baada ya Yanga Princess kuzidiwa alama moja tu na Simba Queens katika mbio za ubingwa

Msimu huu Wananchi wamekuwa na imani kubwa kwa timu yao kuwa inaweza kushinda vita ya ubingwa dhidi ya Simba Queens

Kipigo cha mabao 4-1 ambacho Yanga Princess wamekipata leo kutoka kwa Simba Queens kinatoa picha halisi kuwa bado viongozi wa Yanga wana kazi ya kufanya

Ni matokeo ambayo hayakuwafurahisha wengi, naamini timu hii itaendelea kuboreshwa ili kumaliza uteja huu dhidi ya Simba Queens

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’