Mapema kabla ya mchezo dhidi ya KMKM, Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wa Yanga walipata nafasi ya kutembelea Kituo cha Watoto Yatima Mzizini, Zanzibar.
Umekuwa ni utamaduni Yanga katika kurudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuleta furaha katika maisha ya Wananchi
Baadae Yanga ilielekea uwanja wa Amaani kucheza na KMKM mchezo ukimalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2, Yanga ikijihakikishia kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi
ADVERTISE HERE