Feisal nyota wa mchezo dhidi ya KMKM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2022
Feisal nyota wa mchezo dhidi ya KMKM

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' ameondoka na tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya KMKM uliopigwa uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar na Yanga kulazimishwa sare ya mabao 2-2

Feisal alifunga bao la pili la Yanga katika mchezo huo uliokuwa na upinzani mkali

Sambamba na tuzo hiyo, Feisal ameondoka na kitita cha Tsh laki tano

Fei Toto alirejea kikosini jana baada ya kumaliza muda wa mapumziko aliokuwa amepewa sambamba na Farid Mussa na Jesus Moloko ambao wote walipata nafasi ya kucheza

Farid na Moloko waliingia katika kipindi cha pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’