Tarehe kama ya leo alizaliwa Mwananchi kwelikweli ambaye ni Waziri wa Fedha Mh Dk Mwigulu Nchemba
Mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini klabu ya Yanga, Mwananchi asiyeficha mahaba yake kwa klabu hii yenye historia ya kipekee Tanzania
Rais wa zamani klabu ya Singida United, ambaye Wananchi watakumbuka mchango wake wa kumsajili Feisal Salum 'Fei Toto' kisha kumpeleka Yanga wakati ule wa 'bakuli'
Aliisaidia sana Yanga wakati ilipopita kwenye kipindi kigumu na hata sasa yeye ni sehemu ya Bodi ya Wadhamini wa klabu
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY HON. MWIGULU LAMECK NCHEMBA..!
ADVERTISE HERE