Jumamosi January 08 mchezo wa dabi ya kinadada kati ya Yanga Princess dhidi ya Simba Queens utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mara ya kwanza
Huu ni mchezo ambao Yanga Princess inahitaji kushinda ili kuzima ngebe za watani zao ambao kwa wastani wamepata matokeo mazuri katika michezo iliyopita ya dabi
Aisha Masaka kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga Princess amesema hawatakubali kufungwa na Simba Queens kwa mara nyingine, huu ni msimu wao
Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
ADVERTISE HERE