Msafara wa kikosi cha Yanga unatarajiwa kuwasili visiwani Zanzibar leo kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi
Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema wanakwenda Zanzibar wakiwa na kikosi kamili, wachezaji wenye majukumu ya timu za Taifa ndio watakaokosekana
Yanga itashuka dimbani kesho Jumatano kuikabili Taifa Jan'gombe katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Amaan kuanzia saa 2:15 usiku
Yanga wakiwa mabingwa watetezi wa michuano hiyo, wamedhamiria kushinda tena kwa mara ya pili mfululizo
ADVERTISE HERE