Aisha Masaka ameendeleza moto wa kufunga mabao ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' akiweka hat-trik katika ushindi wa mabao 3-1 ambao Yanga Princess amepata dhidi ya JKT Queens
Masaka sasa amefikisha mabao matano, akiihakikishia Yanga Princess ushindi wa pili na kufikisha alama saba
Ulikuwa mchezo mgumu lakini muhimu kwa Yanga Princess kupata ushindi muhimu
ADVERTISE HERE