Heri ya Mwaka Mpya Wananchiiii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2022
Heri ya Mwaka Mpya Wananchiiii

Mwaka 2021 hasa katika msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2021/22 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa kikosi cha Yanga 

Jana Wananchi wamefunga mwaka 2021 kibabe kwa kuifumua Dodoma Jiji mabao 4-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Katika michezo 11 waliyocheza, Wananchi wameshinda michezo tisa na kutoka sare michezo miwili tu

Kikosi hiki cha Yanga mara mwisho kupoteza mchezo ni hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United, tangu wakati huo ni 'mwendo mdundo'

Pongezi nyingi kwa uongozi, Wadhamini na Wafadhili GSM kwa kazi waliofanya kuunda kikosi ambacho kinawapa Wananchi sababu ya 'kuvimba' na 'kutamba'

Awamu ya pili ya msako wa taji la ligi kuu na FA itaanza baada ya michuano ya kombe la Mapinduzi ambayo Yanga inakwenda kushiriki visiwani Zanzibar

Kwa hakika huu ni mwaka wetu Wananchi. Tumeikuribisha mwaka tukiwa na furaha, bila shaka furaha hii itadumu mpaka mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
27m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
35m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’