Mauya ameiva sawasawa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2021
Mauya ameiva sawasawa

Hutaweza kusikia akizungumzwa sana, lakini huwezi amini Zawadi Mauya kwa sasa anaweza kuwa mchezaji bora wa Yanga katika eneo la kiungo

Katika mechi tatu zilizopita, Mauya ameonyesha ubora wa hali ya juu! Huyu ndiye Zawadi Mauya ambaye msimu wa 2019/20, alichaguliwa kuwa kiungo bora wa ligi kuu

Uwepo wake pale kati unawarahisishia kazi akina Aucho kuweza kusogea mbele zaidi

Ndio maana Aucho amekuwa akifunga mabao katika mechi za hivi karibuni, ni kwa sababu pale nyuma, baada ya Bangala kurudishwa safu ya ulinzi, kazi zote safi na chafu zinafanywa na Mauya

Kocha Nasreddine Nabi na benchi lake la ufundi wanastahili pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kumuimarisha Mauya

Kuna wakati hakuwa akiaminiwa kutokana na kiwango chake kutotabirika

Lakini sasa amecheza mechi nne na zote amekuwa katika kiwango bora sana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’