Huyo Sureboy ni Aucho mfupi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2021
Huyo Sureboy ni Aucho mfupi

Siku yake moja ya mazoezi pale Avic Town imetosha kumshawishi kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ambaye amesema kiungo Salum Abubakar 'Sure boy' ataimarisha zaidi safu yake ya kiungo

Nabi amesema Sureboy ni mmoja wa viungo mahiri wa ndani, ujio wake Yanga utakuwa na manufaa kwa mabingwa hao wa kihistoria

Amemfananisha Sureboy na Khalid Aucho ambaye anapendezesha eneo la kiungo la Yanga anapokuwa uwanjani

"Nimefurahia sana usajili huu. Nimeangalia ubora wake hapa, amenionyesha kwamba ni mmoja kati ya wachezaji bora wa hapa Tanzania atakayetusaidia sana," alisema Nabi.

"Kwa sasa unapomkosa Aucho unakuwa huna presha kwa sababu una mwingine (Sure Boy). Nafikiri tuko sawa eneo la kiungo, hatuna wasiwasi tena kama ilivyokuwa hapo kabla"

Nabi amesema kuwa Sure Boy anaweza kupiga pasi za aina zote fupi na ndefu, lakini pia akimudu kuhama nafasi moja kwenda nyingine katika kumiliki eneo la kiungo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
35m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’