Mshery yuko tayari kuwakabili Dodoma Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2021
Mshery yuko tayari kuwakabili Dodoma Jiji

Mlinda lango mpya wa Yanga Abdultwalib Mshery anaweza kuwa langoni Ijumaa wakati Yanga itakapoikabili Dodoma Jiji katika mchezo wa ligii kuu ya NCB kufunga mwaka 2021

Mshery alitua Yanga mapema jana, akakamilisha usajili wake na jioni akaelekea Avic Town kuungana na wenzake waliokuwa wakiendelea na maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Dodoma Jiji

Mshery yuko tayari, kuchukua nafasi ya Djigui Diarra ambaye tayari yuko nchini Cameroon na timu ya Taifa ya Mali tayari kwa michuano ya Afcon 2021

Mapema tu, benchi la ufundi la Yanga limeonyesha kuwa na imani kubwa na mlinda lango huyu mwenye umri wa miaka 21 tu

Yanga imemsajili Mshery kwa sababu ya umahiri wake sio kwenye kudaka tu, anaweza kutumika timu inapotengeneza mashambulizi kutokea nyuma

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’