Hatua ya kwanza unapaswa kulipa Tsh 2000 kwenye Tawi lako (Unahitaji kujisajili katika Tawi lolote la Yanga). Utajaza fomu kuweka taarifa zako kamili ikiwa pamoja na namba yako ya siku ambayo itatumika kama kumbukumbu namba ya Malipo
Utakamilisha malipo yako kupitia mtandao wa TigoPesa na MPesa


ADVERTISE HERE