Disemba 31, siku ya Ijumaa, Wananchi watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu kuhitimisha mwaka 2021
Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku ambapo viingilio vya mchezo huo vimewekwa hadharani
VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Yiketi zinapatikana kupitia mitandao ya simu au vituo hivi;

ADVERTISE HERE