Kiungo Salum Abubakar 'Sureboy' ameanza kuwatumikia Wananchi baada ya uhamisho wake kutoka Azam Fc kukamilika
Sureboy ni sehemu ya kikosi cha Yanga kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa Ijumaa, Disemba 31 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Ni fundi mwingine ameongezeka pale katika eneo la kiungo


ADVERTISE HERE