Mshery anasubiri kutambulishwa tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2021
Mshery anasubiri kutambulishwa tu

Mlinda lango wa Mtibwa Sugar, Aboutwaleeb Mshery (21) leo Desemba 29 amemalizana na vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga.

Mshery amejiunga na Yanga, tayari kwa ajili ya kuziba pengo la kipa namba moja wa timu hiyo Djigui Diarra ambaye ameenda Mali kwenye majukumu ya timu ya taifa wanaojiandaa na michuano ya Afcon.

Kipa huyo tayari amewasili kambi ya Yanga, iliyopo Avic Town Kigamboni, ambako alitambulishwa mbele ya wachezaji wenzake, wakati wa mazoezi, kisha akarudi kwenye gari alilokuja nalo.

Baadae Mshery alibadilisha nguo na kuvaa jezi na kwenda kujiunga na wenzake mazoezini katika programu ya kocha Nabi.

Kipa huyo tayali amekabidhiwa jezi namba 50 mgongoni na kupewa glavu tayari kwa ajili ya mazoezi

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’