Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Waziri Junior huenda Disemba 31 akawa sehemu ya kikosi cha Dodoma Jiji kitakachoikabili Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Waziri amekamilisha usajili wake kujiunga na Dodoma Jiji miezi sita baada ya kuondoka Yanga
Mshambuliaji huyo alikwenje nje ya nchi kusaka changamoto mpya lakini mpango wake haukufanikiwa hivyo kurejea tena nchini
Yanga na Dodoma Jiji zitafunga mwaka 2021 Ijumaa katika ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE