Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina leo amelazimika kukaa jukwaani kuishuhudia timu yake ikipepetana na Mwadui FC baada ya kibali chake cha kufanya kazi nchini kuisha muda wake.
Uongozi wa Yanga umesema uko kwenye mchakato wa kuhuisha kibali cha Mzambia huyo aliyerejea nchini karibuni baada ya kumaliza msiba wa mwanawe.
Yanga imelazimishwa suluhu ya 0-0 na Mwadui FC.

ADVERTISE HERE