Msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' 2021/22 unaanza leo kwa mechi kadhaa kupigwa ambapo kinadada wa Yanga Princess wao wataanzia mkoani Dodoma kwa michezo dhidi ya Baobab Queens na Fountain Gate
Kesho Ijumaa, Disemba 24 watacheza na Baobab Queens na baadae kushuka tena uwanjani Disemba 28 kuikabili Fountain Gate
Yanga Princess iliondoka jijini Dar es salaam jana tayari kwa mwanzo mzuri wa msimu
ADVERTISE HERE