Wachezaji 13 Yanga ni wagonjwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2021
Wachezaji 13 Yanga ni wagonjwa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wachezaji 13 wa timu hiyo ni wagonjwa lakini wataendelea na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons kama ulivyopangwa

Bumbuli amesema walisafiri na kikosi cha wachezaji 23 ambapo mpaka jana jioni wachezaji watano hawakuwa sawa

Idadi hiyo imeongezeka na kufikia 13 leo asubuhi ambayo ni nusu ya wachezaji wote

"Mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons utachezwa kama kawaida kicha ya hali ya wachezaji wetu zaidi ya nusu kuugua"

"Siku ya safari tulilazimika kuwaacha Yennick Bangala na Kit Manager Mr Mpogolo baada ya kuugua ghafla usiku"

"Timu ilisafiri na wachezaji 23, hadi jana wachezaji watano hawakuwa sawa, ndio maana Kocha wetu hakuwa na uhakika wa nani na nani watakuwa sawa kwa mchezo wa leo. Asubuhi ya leo idadi ya wachezaji wagonjwa imeongezeka kifikia 13"

"Timu ya madaktari inafanya kazi yake kulinda afya za wachezaji na viongozi wetu. Tuwaombee. Lakini licha hivyo, mechi yetu itachezwa kama ilivyopangwa," allisema Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’