Salamu za shukrani kutoka kwa Nchimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2021
Salamu za shukrani kutoka kwa Nchimbi

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi ameushukuru, uongozi, Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kwa sapoti waliyompa katika kipindi chote alichoitumikia Yanga

Nchimbi amejiunga na Geita Gold baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika

"Ahsante Yanga kwa muda wote niliotumikia nasema ahsante na MUNGU awabaliki mtabaki moyoni daima. Nimejifunza mengi katika kazi yangu na mmenisaidia kunikomaza kwa hali zote WASHABIKI , VIONGOZI,na TEAM kwa jumla mtabaki moyoni mwangu milele," aliandika Nchimbi katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’