Pointi tatu muhimu leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2018
Pointi tatu muhimu leo
Kikosi cha Yanga leo kinashuka kwenye uwanja wa Uhuru kucheza mchezo wa mzunguuko wa 13 ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mwadui FC.

Yanga inashuka katika uwanja wa Uhuru leo ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Mbao FC jijini Mwanza,

Yanga iko nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi, matokeo ya ushindi yataifanya ichupe hadi nafasi ya tatu ikiizidi Mtibwa Sugar kwa tofauti ya mabao.

Katika mchezo huo Yanga itawakosa Obrey Chirwa, Donald Ngoma, Thabani Kamusoko, Abdallah Shaibu na Geofrey ambaye ni mgonjwa.

Chirwa anatumikia adhabu ya michezo mitatu, huku Ngoma, Ninja na Kamusoko wakiwa bado hawajapona sawasawa majeraha yao.

Hata hivyo Yanga ina kikosi kipana na bila shaka haiwezi kuathiriwa na kukosekana kwa wachezaji hao ambao wengine wamekuwa nje kwa muda mrefu
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
39m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’