Hat-trik yamuongezea 'mzuka' Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2021
Hat-trik yamuongezea 'mzuka' Makambo

Mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo jana aliweka kambani mabao matatu na kuondoka na mpira katika mchezo wa raundi ya tatu kombe la FA dhidi ya Ihefu Fc, Yanga ikiondoka na ushindi wa mabao 4-0

Msimu huu, Makambo amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi mbele ya Fiston Mayele lakini ametumia vyema nafasi aliyopewa dhidi ya Ihefu Fc

Ni wazi Makambo amewapa maswali benchi la ufundi, ana nafasi nzuri kuanza katika mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Disemba 19 uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga

Makambo amesema alikuwa katika nyakati ngumu lakini sasa mabao hayo aliyofunga yatamuongezea kujiamini

"Nashukuru leo nimeweza kufunga mabao matatu, ni ushindi wa timu nzima. Kama mshambuliaji nilikuwa nikipita katika kipindi kigumu lakini naamini baada ya mabao haya, nitaendelea kufunga kwenye michezo ijayo," alisema Makambo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’