Kombe la FA tunaanza hivi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2021
Kombe la FA tunaanza hivi

Mchezo wa raundi ya tatu michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), kati ya Yanga dhidi ya Ihefu Fc utapigwa Jumatano, Disemba 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja usiku

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kushuhudia kandanda safi kutoka kwa timu yao

Baada ya kucheza hatua ya nusu fainali mara mbili na msimu uliopita kucheza fainali, Wananchi wamepania kushinda taji hilo ambalo linatoa nafasi kwa bingwa kujihakikishia tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’