Kikosi cha Yanga leo kitakamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi, Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wanasema usiku wa deni haukawii, hatimaye ni siku moja imesalia kuelekea mchezo huo muhimu






ADVERTISE HERE