Katika kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wataingia uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Uganda 'The Cranes'
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja na nusu usiku
Leo Stars itakuwa na sura tofauti baada ya kocha mkuu Kim Poulsen kuwaacha wachezaji wa Yanga na Simba
Keshokutwa Jumamosi, Simba na Yanga zitakutana kwenye mchezo wa kwanza ligi kuu msimu huu
ADVERTISE HERE