Leo ni miaka 60 ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, uliopatikana Disemba 09, 1961
Ni siku ya mapumziko kuadhimisha siku hii adhimu kwa Watanzania wote
Tunawatakia Wananchi wote maadhimisho mema katika siku hii adhimu

ADVERTISE HERE