Mijadala tuwaachie, Jumamosi waje uwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Dec 2021
Mijadala tuwaachie, Jumamosi waje uwanjani

Mashabiki wa Yanga wameaswa kutojiingiza kwenye mjadala ulioanzishwa na baadhi ya wachambuzi kwa lengo la kupooza joto la mchezo wa watani wa jadi ambao utapigwa Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa

Tangu jana baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikitumika kuanzisha ajenda mbalimbali, wameanzisha mjadala kuhusu uhalali wa nembo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM Afrika) kuvaliwa na klabu zote

Utaona kwenye vipindi vya michezo vya baadhi ya redio, mjadala ni nembo ya GSM na sio mchezo utakaopigwa Jumamosi

Na hili linatokea kimkakati kutokana na ukweli kuwa Yanga wako katika ubora zaidi kulinganisha na watani zao Simba

Wanaamini kuanzisha mijadala hii mbadala itawapunguzia presha Simba kuelekea mchezo huo

Wanayanga hawapaswi kuingia katika mijadala hii na badala yake ni kujikita katika maandalizi ya timu yao

Muhimu tu hiyo Jumamosi, wanapaswa kuleta timu uwanjani baada ya bodi ya Ligi ilikataa ombi lao la kuahirisha mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’