Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali Avic Town, Kigamboni yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba
Ni Jumamosi hii, Disemba 11 pale uwanja wa Benjamin Mkapa Wananchi wamepania kuendeleza ubabe wao dhidi ya Simba







ADVERTISE HERE