Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga tayari imeingia kambini kujiandaa na mchezo huo ambao Wananchi wamepania kuondoka na alama zote tatu




ADVERTISE HERE