Diarra kushiriki AFCON 2021 Cameroon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2021
Diarra kushiriki AFCON 2021 Cameroon

Mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra mwezi Januari ataelekea Mali kujiunga na timu yake ya Taifa ambayo itashiriki michuano ya AFCON 2021 itakayofanyika nchini Cameroon kuanzia Januari 09 2022 mpaka Februari 09 2022

Diarra anaweza kuondoka mwishoni mwa mwezi huu, uongozi wa Yanga huenda ukalazimika kusajili mlinda lango mwininge mzawa ambaye atashirikiana na Erick Johora na Godfrey Magaigwa aliyepandishwa kutoka timu ya vijana U20

Djigui atakosekana kikosini kwa takribani mwezi mmoja pale atakapoondoka kwenda kujiunga na timu ya Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’