Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Mbeya ambako jana walifanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza
Yanga imerejea kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Disemba 11 uwanja wa Benjamin Mkapa






ADVERTISE HERE