Saido mechi mbili mabao mawil

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2021
Saido mechi mbili mabao mawil

Tangu arejeshwe kwenye kikosi cha kwanza, kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza amerejea na moto alioanza nao wakati alipojiunga na Yanga mwezi Disemba 2020

Leo amedhihirisha kuwa ni fundi haswa wa mipira iliyokufa akifunga bao maridadi nje kidogo ya 18

Hilo ni bao lake la pili msimu huu pia likiwa ni bao alilofunga katika mchezo wa pili mfululizo, aliwatungua Namungo Fc kupitia mkwaju wa penati katika mchezo uliopita

Hii ni silaha nyingine muhimu kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Disemba 11

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’