Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF iliyokutana Jumapili Januari 14,2018 imemfungia mechi 3 na faini ya shilingi laki tano mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa baada ya kukiri kumpiga mchezaji wa Tanzania Prisons kwenye mchezo uliochezwa Novemba 25,2017 Azam Complex.
ADVERTISE HERE