Baada ya kuwasili mkoani Mbeya mapema leo, kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi yake ya kwanza mkoani humo kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya Kwanza
Mchezo huo utapigwa Jumanne, Novemba 30 katika uwanja wa Sokoine










ADVERTISE HERE