Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Mbeya ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Mbeya Kwanza
Mchezo huo utapigwa Jumanne katika uwanja wa Sokoine

ADVERTISE HERE