Usafiri wamkwamisha Tshishimbi kufika mazoezini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2018
Usafiri wamkwamisha Tshishimbi kufika mazoezini
Kiungo Papi Tshishimbi hakuonekana kwenye mazoezi ya jana yaliyofanyika kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es salaam.

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amefafanua kuwa kukosekana kwa mchezaji huyo kulisababishwa na tatizo la usafiri.

Hafidh ameeleza kuwa Tshishimbi alikosa usafiri wa kumuwahisha mazoezini kutokea Tegeta anakoishi.

Mbali na Tshishimbi, Geofrey Mwashiuya naye alikosa mazoezi hayo kutokana na ugonjwa.

Benno Kakolanya bado hajaanza mazoezi na kikosi cha Yanga licha ya kuelezwa kuwa madai yake yameshapatiwa ufumbuzi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’