Haya ni mafunzo kwa vitendo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2021
Haya ni mafunzo kwa vitendo

Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Mbeya Kwanza ambao utapigwa Jumanne, Novemba 30 uwanja wa Sokoine, mkoani Mbeya

Benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi na Kocha Msaidizi Cedric Kaze wanawaandaa vijana wao kuweza kuibuka na ushindi katika mchezo huo

Kaze amesema wana siku tatu za kukamilisha maandalizi yao tayari kwa mtanange huo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
8h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
12h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
13h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
13h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’