Faraja iliyoje kumshuhudia Balama akirejea uwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2021
Faraja iliyoje kumshuhudia Balama akirejea uwanjani

Kiungo Mapinduzi Balama sasa amepona kabisa baada ya kuanza kushiriki mazoezi ya Yanga ikiwa na zaidi ya miezi 18 tangu alipovunjika kifundo cha mguu

Kocha wa viungo wa Yanga, Helmy Gueldich amesema Balama ameweza kufanya mazoezi vizuri kwa masaa mawili akiwa na kikosi kizima cha timu hiyo inayongoza msimamo wa ligi.

"Kila mtu amefarijika kumuona (Balama) akicheza kwa muda sasa alikuwa akifanya mazoezi maalum katika programu aliyokuwa anapewa, lakini sasa ameanza mazoezi na timu nzima,” alisema Helmy.

"Wengi tulisubiri kuona hili nadhani daktari Youssef (Mohamed) amefanya kazi nzuri ambayo sasa itamfanya Balama kurejea kuitumikia klabu kwa wakati mwingine,” alisema

Balama aliumia takribani mwishoni mwa msimu wa 2019/20 (Juni 2020), wakati akiwa mazoezini, akivunjika kifundo cha mguu wa kushoto na kulazimika kufanyiwa upasuaji nchini Afrika Kusini.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’