Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo Fc, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Mbeya Kwanza
Mchezo huo utapigwa Jumanne ijayo, Novemba 30 katika uwanja wa Sokoine, Mbeya
Yanga imeanza na mazoezi ya Gym asubuhi, itaelekea kambini moja kwa moja Avic Town baada ya mazoezi ya jioni

ADVERTISE HERE