Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imebariki Maamuzi ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF kwa kutupilia mbali rufaa iliyowasilishwa na Yanga
Suala hili sasa limefika mwisho, ingawa majibu hayakuwa mazuri kwa upande wa Yanga lakini angalau viongozi wa Yanga wamepambana kuitafuta haki huko nje bila ya kujali gharama
Kesi hii ni funzo wa uongozi wa Yanga, siku nyingine watakuwa makini katika mikataba wanayoingia na wachezaji

ADVERTISE HERE