Kocha wa zamani wa Yanga, Hans Pluijm ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Singida United, alitumia muda wake kuwasalimia wachezaji wa Yanga na baadhi ya viongozi wa benchi la ufundi akiwamo Kocha George Lwandamina.
Makocha hao wawili walionekana wakibadilishana mawazo wakati timu zao zikipishana asubuhi kwenye Uwanja wa Uhuru mahali ambako zinafanyia mazoezi kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu.
Yanga na Singida United zilikutana kwenye uwanja wa Uhuru wakati wa mazoezi ya asubuhi.

ADVERTISE HERE