Mashabiki na Wanachama wa klabu ya Yanga kupitia magrupu yao ya mitandao ya kijamii wamechangisha kiasi cha Tsh Mil 3.6 na kumpatia kocha George Lwandamina ikiwa ni sehemu ya rambirambi.
Kocha Lwandamina alifiwa na mwanawe Mofya Lwandamina wiki chache zilizopita.
Mchango huo ulikabidhiwa na Madaraka Marumbo, Mwekahazima wa umoja wa makundi hayo.

ADVERTISE HERE