Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea Lindi wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Namungo Fc
Wananchi watashuka uwanja wa Ilulu, Jumamosi kusaka alama nyingine tatu muhimu




ADVERTISE HERE