Utakuwa mchezo mgumu, tumejipanga kushinda - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Nov 2021
Utakuwa mchezo mgumu, tumejipanga kushinda - Kaze

Kocha Msadizi wa Yanga Cedric Kaze amesema wamedhamiria kuendeleza wimbi la ushindi kwenye ligi licha ya ugumu wa Namungo Fc ambao watacheza nao Jumamosi

Yanga imeondoka leo kuelekea Lindi tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa uwanja wa Ilulu

Kaze amesema waliwafuatilia Namungo Fc kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Simba, wamebaini ni timu nzuri

"Ni timu yenye uwezo mzuri wa kujilinda na kukaa na mpira. Tuliwaona mechi na Simba walivyokuwa na moyo wa kujituma muda wote wa mchezo"

"Tunapaswa kuwa makini ili kuweza kupata ushindi dhidi yao Jumamosi," alisema Kaze

Yanga iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama 15 baada ya kushinda mechi zote tano

Ni mtihani mwingine kwa Kocha Nasreddine Nabi na vijana wake kuendeleza rekodi waliyoanza nayo msimu huu

Michezo minne liyopita kwenye ligi baina ya timu hizo yote ilimalizika kwa matokeo ya sare

Lakini safari hii Wananchi wamepania kuondoka na alama zote tatu mkoani Lindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’