Dk Aucho yuko fiti, Namungo Fc wajipange

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2021
Dk Aucho yuko fiti, Namungo Fc wajipange

Kiungo fundi wa mpira Khalid Aucho amepona majeraha yaliyomfanya akose mchezo wa ligi kuu uliopita dhidi ya Ruvu Shooting ambao Yanga ilishinda mabao 3-1

Aucho alitarajiwa kuwasili nchini usiku wa kuamkia leo akitokea kwenye majukumu ya timu ya Taifa Uganda ambayo juzi ilikamilisha mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Mali

Ni wazi atakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoondoka kesho Jumatano kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa uwanja wa Ilulu, Jumamosi

Unaweza kusema kwa sasa Aucho ndiye kiranja mkuu wa Yanga katika eneo la kiungo

Sio tu uwepo wake unaongeza utulivu kwenye eneo hilo, lakini burudani ya zile kampa-kampatena haikosekani!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
5h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
10h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’