Saido aendelea kun'gara timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2021
Saido aendelea kun'gara timu ya Taifa

Mkongwe Saido Ntibazonkiza jana aliisaidia timu ya Taifa ya Burundi kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Myanmar katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki ambao uko katika kalenda ya FIFA

Saido alifunga bao moja na kutoa pasi ya bao la ushindi, akiendeleza rekodi yake nzuri katika timu ya Taifa

Baada ya Yacouba Songne kupata majeraha ambayo yanaweza kumuweka nje kwa muda mrefu, huenda kocha Nasreddine Nabi atamtumia Saido katika nafasi yake

Katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ambao Yacouba aliumia, Saido aliingia kuchukua nafasi yake na alionyesha kiwango bora

Baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakimuweka nje mara kwa mara Saido ameimarika na kurejea katika ubora wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’