Wachezaji watatu nahodha Mbwana Samatta, Bakari Nondo Mwamnyeto na mlinda lango Aishi Manula wamebaki hotelini wakati kikosi cha timu ya Taifa kikielekea uwanja kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia dhidi ya Madagascar
Wachezaji hao wamezuiwa kwa madai kuwa wana maambukizi ya covid-19
Kocha Kim Poulsen ameanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE